Ushasikia Kanisa linalo muabudu Beyonce kama Mungu?.....Hili apa
Nikanisa
lililoundwa hivi karibini lenye Makazi yake uko Atalanta Marekani,Dini
yao inaitwa Beysim.Mwnzilishi wakanisa hilo anadai kuwa kuna miungu
ambayo inajificha katika miili ya binadamu,na wao wamegundua hilo kutoka
kwa mkali huyo wa RnB kutoka Marekani
Baada ya Beynce kazi yake kuisha hapa Duniani,Roho yake itarudi kuwa Mungu tena baada ya kazi yake kuisha hapa Diniani
0 comments:
Post a Comment