Shavu: Wema Sepetu aitangaza huduma ya internet ya Airtel
Makampuni ya simu yameendelea kuwapa Neema wasanii wa
mbalimbali wa Tanzania, na wakati huu ni neema imemuangukia Wema Abram
Sepetu.
Wema ameonekana katika picha akiwa sura mpya itakayoitangaza huduma
ya mtandao wa Airtel inayohusu internet itakayomsaidia mteja kuingia
Whatsap, Facebook, na Twitter bure
0 comments:
Post a Comment