Hii Ndiyo Soda Inayoweza Kumfanya Mwanaume Kuwa Tasa Asiweze Kupata Hata Mtoto Wa Kusingiziwa..!!
Kwa mjimu wa utafiti huo uliochapichwa
kwenye Jarida la Epidemiology la Marekani, wanaume wanaokunywa zaidi ya
lita moja ya coca cola kwa siku wanakabiliwa na hatari ya kuwa tasa.
Wanaume waliotumia kinywaji hicho walikuwa na upungufu wa aslimia 30 ya
mbegu za uzazi zilizohesabiwa, ikilinganishwa na wale ambao
hawakutumia. Wanaume hao walionekana kuwa na matatizo ya uzazi zaidi
kuliko wasiokunywa coca cola.
0 comments:
Post a Comment