New AUDIO | Nay Wa Mitego - LOWASSA | Download/Listen
Posted by Dj wille zedon
Posted on 02:04
with No comments
EXCLUSIVE[AUDIO] Ben Pol & Thabby lee - Moja Moja | Download
Posted by Dj wille zedon
Posted on 02:00
with No comments
T-Pain Ft Juicy J – Make That Sh*t Work (Official Video)
Posted by Dj wille zedon
Posted on 01:36
with No comments
T-Pain amekuja na video yake mpya ya ngoma inaitwa Make That Sh*t Work..Itazame hapa…
Rick Ross Ft Whole Slab – Heavyweight (Official Video)
Posted by Dj wille zedon
Posted on 01:31
with No comments
Rick Ross anakuletea video mpya ngoma inaitwa Heavyweight akimshirikisha Heavyweight..Itazama .
20 Percent asema tuzo 5 alizopata mwaka 2011 ndio tuzo pekee zilizokuwa za haki.
Posted by Dj wille zedon
Posted on 01:26
with No comments
Msanii 20% amesema tuzo 5 alizopata kwa mpigo mwaka 2011 anafikiri ndizo tuzo za pekee zilizokuwa za haki kwa upande wake kwasababu zilishangiliwa ndani ya ukumbi na nje ukumbi.
Shilole,Nikiiba waume za watu nisilaumiwe.
Posted by Dj wille zedon
Posted on 01:24
with No comments
Mwanamuziki Shilole ambaye anatumikia kifungo cha mwaka mmoja kilichotolewa na Baraza la Sanaa Basata ya kutojihusisha na shughuli za kisanaa amesema ” sanaa ndiyo kazi inayompatia kula na hata kuwasomesha watoto wake hivyo kumfungia mwaka mzima ni kama kumtuma kutembea na waume za watu ili maisha yake yazidi kusonga“.
Shilole asema kuwa mpango wake wa kwenda kufanya show marekani upo pale pale japo amegoma kuzungumzia kuhusu adhabu yake.
(Picha) Jokate amkutanisha Ally Kiba na Ice Prince…Tutegee Collabo muda si mrefu.
Posted by Dj wille zedon
Posted on 01:23
with No comments
Ally Kiba na Jokate
Ally Kiba na Jokate wako nchini Kenya Kwenye Coke Studio, Wawili hao wameonyesha ukaribu mkubwa wakiwa nchini humo. Jana pia walikuwa pamoja studio wakati Ally Kiba akirekodi nyimbo na Sauti Sol.
Ally Kiba anaanza kupata matunda ya kuwa na Jokate karibu baada ya Jokatekumkutanisha Ally Kiba na Ice Prince…
Ally Kiba akiwa na Ice Prince,Jokate na Ne-yo
Katika Mtandao wa Instagram Jokate ameandika “Forever My G. Ma Nig Fly Boi Choc Boi @iceprincezamani Leo Leo Video Loading. But First I Asked Him To Record A Song With Ali Like Tonite. He’s Like Lets Do This. LoL. #Tanzania #Nigeria #Afrika #Kidoti,”.
Usipitwe na Video mpya ya Future Ft Drake ‘Where Ya At?’ itazame hapa
Posted by Dj wille zedon
Posted on 01:18
with No comments
Future amekuwa akilisha mitaa na nyimbo tofauti kutoka kwenye mixtapes zake na sasa ametoa video ya wimbo wak mpya “Where Ya At?” ft Drake kutoka kwenye album yake ya Dirty Sprite 2.
Nahreel katika mipango ya kufungua chuo cha Muziki..Hili ndilo jina la chuo hicho.
Posted by Dj wille zedon
Posted on 01:15
with No comments
Kila msanii a mipango yake…Mipango ya Nahreel ni kufungua chuo cha muziki ambacho kitawasaidia vijana kufanya muziki kitaalam zaidi. Jina la chuo hicho ni The Industry Music School (IMS)
Akizungumza katika kipindi cha XXL …Nahreel amesema “Classes zitaamza karibuni tu..tutakuwa tunauwezo wa kuchukua wanafunzi wengi tu na kuwafundisha kwahiyo haya madarasa yataanza soon tu na tutatoa taarifa…..Kwanza hatutakubali kuanza kuchukua mwanafunzi yoyote tu, tutaanza kuzingatia kwanza mwanafunzi lazima kidogo awe na uelewa wa muziki kidogo hata kama hajawahi kufanya muziki basi awe anaupenda muziki, kwahiyo tutafanya audition ili tuepuke usumbufu wa kufundisha tu watu fulani ambao hawataweza kufanya vitu ambavyo tunafundisha…Shule itakuwa ni miezi mitatu kwa kozi moja, na nimpango wa kuwa na wanafunzi 30 mpaka 40 kwa hiyo semester.”
Hii video mpya ya Melanie Fiona ‘Bite the Bullet’ itazame hapa
Posted by Dj wille zedon
Posted on 01:13
with No comments
Melanie Fiona amerudi kwenye muziki baada ya ukimya wa zaidi y mwaka mmoja, hii video yake mpya “Bite the Bullet,” kutoka kwenye album yake ya tatu Awake.
Official Video HD | CHRISTIAN BELLA - AMERUDI | Watch/Download
Posted by Dj wille zedon
Posted on 01:03
with No comments
Official Video HD | Sauti Sol - Shake Yo Bam Bam | Watch/Download
Posted by Dj wille zedon
Posted on 01:03
with No comments
Msanii Guvnor ’28’ wa Uganda ametangaza kumuoa mchumba wake kutoka Sweden mwenye miaka 68.
Posted by Dj wille zedon
Posted on 00:54
with No comments
Msanii wa Uganda ambae yuko chini ya kampuni ya Jose Chameleone Leone Island Ronald Semawere aka Guvnor ametangaza kumuoa mchumba wake Mzungu mwenye umri wa miaka 70 na yeye akiwa na miaka 28.
Bibi huyu ni raia wa Sweden amekuwa akiripotiwa kuwa na miaka 68 na sio 70. Guvnor amekuwa akipambana na maneno ya watu kuhusu umri wa mwanamke huyo na jee wataweza kuwa na watoto.
Collabo ya Diamond Platnumz na Ne-yo yafanyika…Diamond asema ni bonge la ngoma.
Posted by Dj wille zedon
Posted on 00:53
with No comments
Macho na masikio ya mashabiki wa Diamond ilikuwa ni kuona Diamond Platnumz nae anafanya Collabo na Ne-yo…Jambo hilo limekamilika jana na tayari Diamond Platnumz wameandaa ngoma ambayo inasemekana itakuwa hit song.
Kupitia Mtandao wa Instagram Diamond ameandika “Thanks alot my Brother @neyo and the Whole Compound Crew had a great Session, and it was realy nice working with you…can’t wait for the World to hear this Hit Song!! @Diamondplatnumz ft @neyo ….. Cc @sheddyclever @Compoundu @thecorpshow @Jullianl #AfricaTotheWorld“
Maombi ya Rama D kwa wasanii wa Tanzania
Posted by Dj wille zedon
Posted on 00:44
with No comments
Msanii wa RnB maarufu nchini Tanzania “RAMA D” ambae makazi yake kwa sasa ni nje ya Tanzania, ametoa hisia zake kuhusu wasanii wa Bongo na ugumu wa maisha.
Rama D amepost kwenye mtandao wa Twitter kwamba anamuomba Mungu awasaidie Wasanii hao maana nia sio yao ila hawana jinsi bali hali ni ngumu kwao kimaamuzi.
Hii ni post ambayo ameiandika kwenye mtandao huo
Davido alivyomsaidi kijana wa huyu kutimiza ndoto zake.
Posted by Dj wille zedon
Posted on 00:41
with No comments
Msanii wa Nigeria Davido alisema july mwaka huu kuwa akifikisha followers milioni moja kwenye instagram atampa mtu Naira milioni moja.
August 12 2015 Davido alikuwa Mnigeria wa kwanza kwenye mtandao wa instagram kufikisha mashabiki naira milioni moja ambazo ni kama 10,745,565 za Tanzania na alichagua kumpa kijana Olajide Daniel Sanyaolu naira milioni moja kwaajili ya kulipia ada ya shule.
Olajide Daniel Sanyaolu alifungua account ya GoFundMe ili kuchangisha pesa za kwenda shule nzhini uigereza na alihitaji £24,700 na kabla hajapewa pesa na Davido alikuwa
Watch&Download King Kaka ft Joh Makini and G Nako – Najipendelea (Official Video)
Posted by Dj wille zedon
Posted on 00:39
with No comments
King Kaka kutoka kenya kawakutanisha Weusi Joh Makini na G Nako..Katika ngoma inaitwa Najipendelea…Cheki video na kuidownload hapa..
Zari amjibu Ex wake anaetamba kuwa Tiffah sio mtoto wa Diamond Platnumz.
Posted by Dj wille zedon
Posted on 05:42
with No comments
Ivan pamoja na jamaa yake King Lawrance wamekuwa wakisambaza taarifa kuwa mtoto wa Zari(Tiffah) sio mtoto wa Diamond Platnumz…Leo Zari mwenyewe ameamua kuwajibu.
Zari amesemakuwa “Visasi ni hufanywa na watu wenye akili za kitoto” akimaanisha kuwa Ex wake anafanya haya kwa sababu anataka kufanya kisasi…. ameandika katika account yake ya instagram “Revenge is for the petty. A BO$$LADY knows that the misery a hater Ooops i mean comfused admirer errr nope i really meant a fan in denial has to live with as they watch her happiness & success is enough punishment. Gotta give ma back to all that BS out there. #iStaySlaying coz people only dim a light that’s too bright for them.
Zari amesemakuwa “Visasi ni hufanywa na watu wenye akili za kitoto” akimaanisha kuwa Ex wake anafanya haya kwa sababu anataka kufanya kisasi…. ameandika katika account yake ya instagram “Revenge is for the petty. A BO$$LADY knows that the misery a hater Ooops i mean comfused admirer errr nope i really meant a fan in denial has to live with as they watch her happiness & success is enough punishment. Gotta give ma back to all that BS out there. #iStaySlaying coz people only dim a light that’s too bright for them.
Jux Ft Joh Makini – Looking for you | LYRICS
Posted by Dj wille zedon
Posted on 05:38
with No comments
Jux Ft Joh Makini – Looking for you | LYRICS
{Verse1:}
Bora nikose pesa mali
Nyumba Gari
niwe nawe..
Nyumba Gari
niwe nawe..
Nifanye kazi bila Salary
Yote heri
niwe nawe
Yote heri
niwe nawe
Ninavyotaka niwe nawe
hawapendi tuwe nieleweee
Ninavyotaka niwe nawe
I wish ujue
iii
hawapendi tuwe nieleweee
Ninavyotaka niwe nawe
I wish ujue
iii
{Kama vipi sema mamy
nini nikufanyie
Unipende nikupende milele uwe na mie}*2
{Chorus:}
nini nikufanyie
Unipende nikupende milele uwe na mie}*2
{Chorus:}
Am Looking for you
Looking for you
{Verse 2:}
Looking for you
{Verse 2:}
Ndoto yangu ipo siku
nitakuwa nawe
nitakuwa nawe
Na nina imani nitaweza
nitashinda penzi lako
nitashinda penzi lako
{Ntampenda nani (Kama sio wewe)
Ntamtaka nani (Kama sio wewe)} *2
Ntamtaka nani (Kama sio wewe)} *2
{Kama vipi sema mamy
nini nikufanyie
Unipende nikupende milele uwe na mie}*2
{Chorus:}
nini nikufanyie
Unipende nikupende milele uwe na mie}*2
{Chorus:}
Am Looking for you
Looking for you
{Verse 3:(Joh Makini)}
Looking for you
{Verse 3:(Joh Makini)}
Ni aina gani ya Juu is this
Macho juu juu
Sina ubishi
Roho Juu
Mikono juujuu
Nimesalimu amri
Nakuhakikishia Tafsiri
Ya maneno kwa vitendo
Macho juu juu
Sina ubishi
Roho Juu
Mikono juujuu
Nimesalimu amri
Nakuhakikishia Tafsiri
Ya maneno kwa vitendo
Hakuna maneno nimekwiva
nipe kitengo..
Niache kushika tama
Nisimame nikushike salama
nipe kitengo..
Niache kushika tama
Nisimame nikushike salama
Nisikupige mtama
nisikuvute ka kuku kwa mtama
nisikuvute ka kuku kwa mtama
Yote sifa kwa maulana
uumbaji huu sioni kasoro bwana
uumbaji huu sioni kasoro bwana
Kupendana ni kulindana
Kwa kila kesi niifanye dhamana.
Kwa kila kesi niifanye dhamana.
Akana na kaire Kona
Utafana nami naona
Utafanya nami ntapona
upofu wa mapenzi ntaona
napona na raha na Bonas
itika basi nitulie nafsi Bonas….
{Chorus:}
Am Looking for you
Looking for you
Looking for you
VIDEO: P.R.E. – “Baddest”
Posted by Dj wille zedon
Posted on 02:17
with No comments
Baddest Girl kutoka kwenye mkono wa Sesan
Hizi ndizo corrabo 7 kutoka Nigeria amabzo zitagonga vichwa vya watu Tazama Hapa
Posted by Dj wille zedon
Posted on 02:14
with No comments
1. Cynthia Morgan x Burna Boy
Ever wondered what a mash-up of your favourite music stars would sound like when paired up into collaborations? I have too, and that shallow musing finally got me here, on this post about 7 Nigeriancollabos that I’m sure… or is it that I know? Okay wait, that I think… yes think, will totally rock. Actually I’m damn too proud of all the names I’ve assembled here and they’ve worked themselves up to this point where they can hone their musical prowess having surpassed those good ol’ days of success in boomlets.
Enough talk!
Now action.
Now action.
Asides my imagination already telling me that this track will be a fire bomb, you also get to find out that reckless cockiness can be made good for things such as this. Who knows better to give dance hall music a multi-dimensional treatment than Kingston Property‘s Cynthia Morgan in a link-up with Sabi Boy, Oluwaburna? If there ever was a time for Morgan to wear her brazen self and without apology, it would be here and trust Burna Boy to always come through with his vocal swag… in Yoruba pidgin!
2. Burna Boy x Seyi Shay
Ah! This is one collabo that excites me. Ms Shay is one very versatile songstress, proving herself time and time again that no ‘one box’ can hold her. Don Jazzy on the other hand, has shown with positive inputs and results that they don’t call him a don for trivial fun. These two are skilled to relish, and diversely so too but their vantage point would be that studio where they decide to lock horns and unleash some circus magic acts from their oga and madam Sabinus. Wow, I think I just might have found the title of their track!
Did you just laugh out loud? Well think again. Since trying his hands on hip-hop/pop influenced songs, Pasuma raised the stakes in his game and has excelled to particular delight. All the talented fuji-pop star needs now is to hook-up with producer extraordinaire, Don Jazzy and create an epic evergreen sound in the pop/high life genre that bridges musical frenzies in the South West and Eastern ethnicity… of course with the Doroboss lending his signature baritone tenor
5. Flavour x Yemi Alade
Can you think of anybody else’s song that sends you into a dancing fiesta like Flavour’s and Yemi Alade’s? Hey, stop thinking! This synergy will help to sharpen creative ideas like danceathons, which all them rap competes have almost succeeded in stifling out. From energetic synchronizations to locomotive gyration and impeccable vocal skills, Flavour and Yemi are a perfect par and they sure need to remind us again how well we should celebrate the proudly African heritage.
6. Asa x Timi Dakolo
Okay, I think we’ve played around enough for a bit. Time to get some serious bi’ness done. Individually, these soul music legends are worth more in calibers than my riveting writer skill can do them any fitting justice. With these two, music always has a meaning and their synergy owes us a classic piece with a never-before-heard sensation, the kind that reorients our minds. If they choose to keep it on a low, then you know that they’re launching into the deepest of deeps and if it’s way up, they’re reaching for the bluest skies. Please go figure!
7. Reekado Banks x Wizkid
I forgive all of you that compared my dear Reeky Tom Tom to Daddy Bolu. Although their artistry may share quite some similarities but thank the stars that they sound nothing alike. Yes, they actually don’t. The other similarity they share would be that they’re small men who are crazy in love for really big things. And because they’re consistent with pro-balling at their turf, it’s become a wonder what their hit banger would sound like. No stressing, it’ll obviously be about a Salewa and her massive ‘baka’ but I’d love to hear it still.
And finally, I would be smoking skunk if I didn’t list these two…
This is pretty much the biggest and most anticipated collaboration of the Nigerian music industry. I dare say! Some of us even live for things as such to happen. I also think all the parties involved have come into knowledge of the blossoming effect of it’s happenstance, which further explains why they’ve let us remain in limbo land. Having said, Wizkid and Davido can either continue to form like they’re cool with beholding the presence of each other or they could just get in a studio booth and literally give themselves an acid bath with all the hydrochloride stored in the barrels of their hearts. Now, that’s something I wouldn’t mind living for!
Oya, as is our tradition, you guys should tell me those collabos you’ve dreamed of that you know will totally rock. Who’s going first?
Watch & Download (Official Video) Olamide - Lagos Boys
Posted by Dj wille zedon
Posted on 01:58
with No comments
WATCH HERE
Young Thug ft Gucci Mane – Again (Official Video)
Posted by Dj wille zedon
Posted on 01:51
with No comments
Tyga – Bu$$in Out Da Bag (Official Video)
Posted by Dj wille zedon
Posted on 01:45
with No comments
Hii ni video mpya ya Tyga….Ngoma inaitwa Bu$$in Out Da Bag…Itazame hapa.
Ne-yo awasili nchini Kenya…Na hii ndio picha ya kwanza aliyopiga na Ally Kiba.
Posted by Dj wille zedon
Posted on 01:42
with No comments
Ne-yo amewasili rasmi nchni Kenya katika msimu mpya wa Coke Studio Afrika ambapo anategemea kufanya Collabo na Msanii kutoka Tanzania (Ally Kiba).
Ne-yo akiwa na Wafanyakazi wa Kenya Airways
Ne-yo akiwa na Wafanyakazi wa Kenya Airways
Katika Mtandao wa Instagram Coke Studio wameandika “Mwanamuziki maarufu kutoka Amerika @Neyo ajumuika na wasanii wa Coke Studio Africa kutoka Tanzania, Kenya, Uganda, Nigeria na Mozambique. @officialalikiba @wangechikenya @mauricekirya @iceprincezamani @ddobling #CokeStudioAfrica”.
Diamond Platnumz, asema Zari hajawahi kuolewa,X wake anataka umaarufu tu
Posted by Dj wille zedon
Posted on 01:38
with No comments
Kupitia interview aliyofanyiwa na XXl Diamond Platnumz amesema “Barua iliyowekwa kwenye instagram ya x wa Zari ‘ King Lawrenc’ ni moja ya njia ya jamaa huyo ‘Ivan’ kujipatia umaarufu.
Diamond anasema ” Lazima tujue kuwa kila mtu anatumia mitandao kwa njia zake, wengine wanatumia kutafutia umaarufu tu, which is not bad but kupata umaarufu ni kazi sio, mtu anatafuta umaarufu na waru wakamsikiliza na kupata pongezi kwa sababu amekaa amebuni kitu mpaka watu wakamsikiliza” .
Diamond alimalizia kwa kusema “ Zari hajawahi kuolewa, ni stori tu hizo, lakini hajawahi kuolewa, ukimuuliza mwenyewe anasema hajawahi kuolewa kabisa” .
>Ukiwa na mahusiano na mtu huwezi fuatilia vitu vyake vya nyuma, tumeanza maisha yangu mimi na yeye sidhani kama umeshaona post yangu yoyote ya kumzungumzia vibaya ndio maana nikiona vitu ambavyo navisikia naona ni uongo, mimi sifuatili maisha ya mtu” .
Download | Fred Swagg Feat. Barakah Da Prince - Kikomo
Posted by Dj wille zedon
Posted on 02:07
with No comments